Mambo ya ku-trust Mr Bean nni wakicheza na akina Aston Villa na Portsmouth.Mechi ya kwanza watoto wa Mr. Bean walikuwa na bahati, naona leo walikuwa wanakaa kitako tena wakisubiri tena bahati badala ya kucheza soka..
Nawasikitikia sana wale jamaa walokuja na mabango ya "We trust in Mr.Bean", alidai timu itakuwa kali lakini lol..Kweli Mr.Bean ni Mr.Bean tu..
Basi itabidi niugue tu wiki nzima... Hehehehehe!
Sitaki kufikiria kabisa... Balaa
Leo Red Devils came out looking for blood and unfortunately bunduki za Arsenal zilikuwa na rubber bullets. Yani leo ni furaha mtindo mmoja.
Mambo ya ku-trust Mr Bean nni wakicheza na akina Aston Villa na Portsmouth.
Unapokuja kulinganisha Man na Arsenal ni madaraja tofauti. Manchester iko "top one", ama at least "top two" wakati Arsenal wako "top four" wala sio "top three"! Unategemeani? Nawauliza wana-Gunners.
Mmmmh Gulp Gulp nimeamka baada ya match matokeo ndo vile tena tumeshindwa home ground... kwa HASIRA KESHO mimi nipo BARCA... Najua shujaa wetu Henry atatunyanyua fainali... Arsenal wooooye,BARCAS/Henry Woooyeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Blurp ZZZZzzzzzzzzz....!!!
Mmmmh Gulp Gulp nimeamka baada ya match matokeo ndo vile tena tumeshindwa home ground... kwa HASIRA KESHO mimi nipo BARCA... Najua shujaa wetu Henry atatunyanyua fainali... Arsenal wooooye,BARCAS/Henry Woooyeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Blurp ZZZZzzzzzzzzz....!!!
....ha ha ha haaaaaaa,....thanks Icadon, imebidi nicheke tu pamoja na kipigo cha 'mbwa mwizi' mlichotupa leo!
Huyu Invisible ana mwenzake mmoja yeye Chelsea wakicheza anakuwa na mitihani, Invisible ndio hivyo uwa anaonekana dakika 5 za mwisho (kama hawajafungwa).
Hahah GT anatoana roho na wanasiasa wenzake kwenye jukwaa la siasa uko alafu yule nahisi ni mshabiki wa West Ham au Fulham lol.Wako wengi GT ndiyo alianzisha thread ya Arsenal but naona kaamua kukimbilia kwenye SIASA na Sandra Matuta nae alianzisha thread ya Chelsea but naona kakimbia kabisa
Nakuona unavijineno lakini hamna noma maana mumeshinda jana.
Leo hamna cha mtihani wala nini,semester imekatika na tutakua
mbele ya runinga from the go.
After seeing what happened yesterday, nakubali kweli kuna kazi
na "its not over till the fat lady sings"...tukutane darajani.
Manchester United's hopes of overturning Darren Fletcher's red card have been dashed by UEFA, who state that overturning the Scot's suspension for the Champions League final would open a "Pandora's Box".
Darren Fletcher's harsh sending off seems certain to rule him out of playing in Rome.
UEFA have confirmed that a protest against a sending off would only be allowed on the basis on mistaken identity - and not on whether the referee had been too harsh.
Noma tupu!