Asenooooo hao Mito Fc wanakaaangwa, Sakaaa matinell.......Unakuta unajikesha apo alafu ni aseno
Maguire hakucheza, mtamlaumu nani?Uchovu na mechi nyingi za kiushandani zimetumaliza ila tutarejea .
Hapana mkuu,aseno mwaka inabeba UEFAAseno ni timu ndogo mkuu
Dunia hii hii?Hatuna mda wa lawama Manchester ni timu kubwa duniani
Ukubwa wake uko kwenye vichapoHatuna mda wa lawama Manchester ni timu kubwa duniani