Manchester vs Liverpool

Manchester vs Liverpool

Liverpool wamefanya matusi makubwa, kufungwa Kupo lakini 7[emoji1787][emoji1787] tafasili yake ni kwamba Man7 wameinami..........hahahaaa.
Mbona hao liverkuku walipigwa week na Aston villa ya kina samata
 
Man u ni timu yenye mentality ya middle teams ,ila Kuna muda wamekuwa form hasa rashford na juhudi za Degea


Most touches in the opposition box by a team in a single Premier League game this season:

[emoji837] Arsenal vs Bournemouth - 78
[emoji837] Arsenal vs Man Utd - 64
[emoji838] Man City vs Brentford - 62
[emoji837] Arsenal vs Nottingham Forest - 59
[emoji838] Man City vs Southampton - 56
Kocha ndo kwanza ana miezi 6 kwenye timu
 
Eeh
 

Attachments

  • Screenshot_20230307-084442~2.png
    Screenshot_20230307-084442~2.png
    31.5 KB · Views: 3
Binadamu wameumbiwa kusahau
1678176186948.jpg
 
Kwamba 2009 Manyumbu walishinda goli 8 dhidi ya liverpool? Yaani mtu amekaa akaona achapishe vitu vya uongo kujipoza, kweli 7 zinauma hasa ikitokea hamkuwa pungufu wala hakuna goli la penalty [emoji3]
Goli 6 mkuu Acha kupotosha
 
Back
Top Bottom