Manchester vs Liverpool

Liverpool wamefanya matusi makubwa, kufungwa Kupo lakini 7[emoji1787][emoji1787] tafasili yake ni kwamba Man7 wameinami..........hahahaaa.
Mbona hao liverkuku walipigwa week na Aston villa ya kina samata
 
Kocha ndo kwanza ana miezi 6 kwenye timu
 
Eeh
 

Attachments

  • Screenshot_20230307-084442~2.png
    31.5 KB · Views: 3
Binadamu wameumbiwa kusahau
 
Kwamba 2009 Manyumbu walishinda goli 8 dhidi ya liverpool? Yaani mtu amekaa akaona achapishe vitu vya uongo kujipoza, kweli 7 zinauma hasa ikitokea hamkuwa pungufu wala hakuna goli la penalty [emoji3]
Goli 6 mkuu Acha kupotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…