Wild fauna JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 461 Reaction score 189 Aug 2, 2013 #1 Nimechaguliwa kwenye hicho chuo,nipo huku mtwara nanguruwe,please naombeni mwenye joining instruction ya hiki chuo anipatie. Nawasilisha
Nimechaguliwa kwenye hicho chuo,nipo huku mtwara nanguruwe,please naombeni mwenye joining instruction ya hiki chuo anipatie. Nawasilisha
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,093 Reaction score 7,229 Aug 2, 2013 #2 J e maombi yako ya ualimu ulituma hapa JF, kiasi kwamba xaxa ndo tukupe joining instructions ?? Hakika nimeanza kuamini kuwa hata matokeo ya vijana wetu yako accelerated na aina hii ya mediocre teachers .
J e maombi yako ya ualimu ulituma hapa JF, kiasi kwamba xaxa ndo tukupe joining instructions ?? Hakika nimeanza kuamini kuwa hata matokeo ya vijana wetu yako accelerated na aina hii ya mediocre teachers .
double click JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 569 Reaction score 949 Aug 2, 2013 #3 Wild fauna said: Nimechaguliwa kwenye hicho chuo,nipo huku mtwara nanguruwe,please naombeni mwenye joining instruction ya hiki chuo anipatie. Nawasilisha Click to expand... Nenda kwny website ya wizara ya elimu www.moe.go.tz wameweka joining instruction ya vyuo vyt au km vp bofya hapa
Wild fauna said: Nimechaguliwa kwenye hicho chuo,nipo huku mtwara nanguruwe,please naombeni mwenye joining instruction ya hiki chuo anipatie. Nawasilisha Click to expand... Nenda kwny website ya wizara ya elimu www.moe.go.tz wameweka joining instruction ya vyuo vyt au km vp bofya hapa