Mandaka Teacher's college

Mandaka Teacher's college

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Nimechaguliwa kwenye hicho chuo,nipo huku mtwara nanguruwe,please naombeni mwenye joining instruction ya hiki chuo anipatie.
Nawasilisha
 
J e maombi yako ya ualimu ulituma hapa JF, kiasi kwamba xaxa ndo tukupe joining instructions ?? Hakika nimeanza kuamini kuwa hata matokeo ya vijana wetu yako accelerated na aina hii ya mediocre teachers .
 
Nimechaguliwa kwenye hicho chuo,nipo huku mtwara nanguruwe,please naombeni mwenye joining instruction ya hiki chuo anipatie.
Nawasilisha

Nenda kwny website ya wizara ya elimu www.moe.go.tz wameweka joining instruction ya vyuo vyt au km vp bofya hapa
 
Back
Top Bottom