Walimu waliodanganywa ajira na serikali tayari wamepanga kufanya maandamano makubwa nchi nzima mikakati hiyo inafanywa kila mkoa. tayari vikao vya kupanga mikakati vinatarajiwa kuanza leo join taarifa rasmi ntaendelea kuwajuza.
mi sio mwalimu ila mzazi naona kama sio vilee....mkopo ni bure leo?then sera zao ndo zinasema wataajiriwa.....!usiwakatishe tamaa na kuwapa maneno ya karaha.
washindwe na walegeee wote wanaotuandama hum ndan kwanza nawafananisha na mtoto wa nyani anayefurahia namna moto unavoteketeza kichaka huku akisahau kuwa ndo sehem ya kujistili