Mandamano makubwa ya walimu

Mandamano makubwa ya walimu

NIKIMU

Senior Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
182
Reaction score
96
Walimu waliodanganywa ajira na serikali tayari wamepanga kufanya maandamano makubwa nchi nzima mikakati hiyo inafanywa kila mkoa. tayari vikao vya kupanga mikakati vinatarajiwa kuanza leo join taarifa rasmi ntaendelea kuwajuza.
 
walimu wenu wenyewe walishindwa kuandamana ndo iwe nyie... emh tulieni banah
 
nimesomesha bure halafu tena niwape ajira,nyie watanzania vichwa maji kwel,au mimi serikali sion matatizo sehem nyingne
 
duuh! akina J4 Sagini sasa wameleta watoto wao waje kutupa mipasho humu...daah!! sawa jamani tumewaskia sio kazma kuajiriwa all above
 
Last edited by a moderator:
nimesomesha bure halafu tena niwape ajira,nyie watanzania vichwa maji kwel,au mimi serikali sion matatizo sehem nyingne

mi sio mwalimu ila mzazi naona kama sio vilee....mkopo ni bure leo?then sera zao ndo zinasema wataajiriwa.....!usiwakatishe tamaa na kuwapa maneno ya karaha.
 
washindwe na walegeee wote wanaotuandama hum ndan kwanza nawafananisha na mtoto wa nyani anayefurahia namna moto unavoteketeza kichaka huku akisahau kuwa ndo sehem ya kujistili
 
Andamaneni tu,c wenzenu tunaendlea kula salary every months ,

NAMPIGWE TU
 
Back
Top Bottom