Mandela was untouchable

Mandela was untouchable

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
When Nelson Mandela was studying law at the University, a white professor, whose last name was Peters, disliked him intensely.

One day, Mr. Peters was having lunch at the dining room when Mandela came along with his tray & sat next to the professor.

The professor said,
"Mr Mandela, you do not understand, a pig & a bird do not sit together to eat"

Mandela looked at him as a parent would a rude child & calmly replied,
"You do not worry professor. I'll fly away,"
& he went & sat at another table.

Mr. Peters, reddened with rage, decided to take revenge.

The next day in class he posed the following question:
"Mr. Mandela, if you were walking down the street & found a package, & within was a bag of wisdom & another bag with money, which one would you take ?"

Without hesitating, Mandela responded, "The one with the money, of course."

Mr. Peters , smiling sarcastically said,
"I, in your place, would have taken the wisdom."

Nelson Mandela shrugged & responded, "Each one takes what he doesn't have."

Mr. Peters, by this time was fit to be tied. So great was his anger that he wrote on Nelson Mandela's exam sheet the word "IDIOT"
& gave it to Mandela.

Mandela took the exam sheet & sat down at his desk trying very hard to remain calm while he contemplated his next move.

A few minutes later, Nelson Mandela got up, went to the professor & told him in a dignified polite tone,

"Mr. Peters, you signed the sheet, but you did not give me the grade."

Don't mess with intelligent people....
 
Kuna kisa cha Mandela nakipenda sana.

Kuna mama alikuwa anafanya kazi nyumbani kwa mke wa gavana.
Basi Yule kijakazi mweusi akaiba nguo nyingi, akaenda kuzificha nyumbani kwake.
Basi polisi wakamkamata kijakazi na kidhibiti.
Yule mama akiwa lockup akaomba Mandela awe wakili wake.
Mandela akakubali, akaomba faragha Na mtuhumiwa. Mtuhumiwa akasema yote. Mandela akasema nitakusaidia.
Mandela akaondoka akawaambia polisi kuwa angerudi bàadae.
Mandela akaenda Huko, anatafuta lichupi likubwaaaà baya Na lililochakaa. Akalificha.
Akaenda polisi, akawauliza huyu mtuhumiwa wangu mmemkamata Na kidhiti? Polisi wakajibu ndio. Akaomba akione.
Akaolewa, akakagua kagua nguo zile Na kwa ujanja akaweka lile lichupi.
Kesho yake kesi ikaafikishwa mahakamani.
Ukafika muda wa wakili wa utetezi. Mandela akauliza mnauhakika mteja wangu aliumba hizi nguo nyumbani kwa mke wa gavana?
Mwendesha mashitaka akajibu ndio.
Mandela akafukuafukua lile furushi Na kutoa lichupi lile.
Akalifungua Na kulinyanyua juu na kumuuliza mke wa gavana hii nayo ni nguo yako? Ilikuwa chafu Na imetobokatoboka.
Mke wa gavana akasema hapana mimi sina hilo lichupi.
Mandela akamwambia hakimu, naomba umuachie huru mtuhumiwa, hajaiba.
Hakimu akawa mpole Na kesi ikaisha
 
Don't compare Mandela with shithole, you will be condemned
Kuna methali ya Kilatin inasema;
"Viir prudence non contra ventum mengit"
Tafsiri.
A wise man does not urinate against the wind.

Ni upuuzi kumsifia mtu ambaye hana mchango wowote ktk maisha yako na kuacha mtu ambaye ka-sacrify maisha atleast kuwasemea watanzania wengine hata kama unahisi hana msaada kwako. Unachokifanya ni sawa na kumsifia baba wa mwenzie kwamba anatunza vizuri familia yake na kumdharau mjomba wako ambaye angalau anaweza hata kukutetea pale utakapohitafiana na baba yako. Binafsi sioni mchango wa wowote wa Mandela ktk sehemu zingine za Afrika isipokuwa SA kwao. Ni wazungu ndio wamemu-overrate kwa kuwa alitawala bila kulipa kisasi.
Ni upuuzi na akili ndogo kumfananisha Lissu na shithole wakati angalau yy ni kati ya watu wachache waliobaki wenye courage ya kukosoa lolote bila kusita. Pia Lissu has influenced alot of people kuliko wewe ambaye sijui hata umeshawahi kuinfluence your parents. Nasema hivi kutokana type of comment uliyotoa. Hivi wewe na Lissu nani shithole?una mchango gani kwa Tanzania kumzidi yy?unapata wapi ujasiri wa kumtusi?

Unakojoa against the wind sio? Obviously mkojo utakurudia na kukuchafua wewe mwenyewe.

Time will tell
 
Binafsi sioni mchango wa wowote wa Mandela ktk sehemu zingine za Afrika isipokuwa SA kwao. Ni wazungu ndio wamemu-overrate kwa kuwa alitawala bila kulipa kisasi.

Ni upuuzi na akili ndogo kumfananisha Lissu na shithole wakati angalau yy ni kati ya watu wachache waliobaki wenye courage ya kukosoa lolote bila kusita. Pia Lissu has influenced alot of people kuliko wewe ambaye sijui hata umeshawahi kuinfluence your parents.

Nasema hivi kutokana type of comment uliyotoa.

Unakojoa against the wind sio? Obviously mkojo utakurudia na kukuchafua wewe mwenyewe.
 
Kuna methali ya Kilatin inasema;
"Viir prudence non contra ventum mengit"
Tafsiri.
A wise man does not urinate against the wind.

Ni upuuzi kumsifia mtu ambaye hana mchango wowote ktk maisha yako na kuacha mtu ambaye ka-sacrify maisha atleast kuwasemea watanzania wengine hata kama unahisi hana msaada kwako. Unachokifanya ni sawa na kumsifia baba wa mwenzie kwamba anatunza vizuri familia yake na kumdharau mjomba wako ambaye angalau anaweza hata kukutetea pale utakapohitafiana na baba yako. Binafsi sioni mchango wa wowote wa Mandela ktk sehemu zingine za Afrika isipokuwa SA kwao. Ni wazungu ndio wamemu-overrate kwa kuwa alitawala bila kulipa kisasi.
Ni upuuzi na akili ndogo kumfananisha Lissu na shithole wakati angalau yy ni kati ya watu wachache waliobaki wenye courage ya kukosoa lolote bila kusita. Pia Lissu has influenced alot of people kuliko wewe ambaye sijui hata umeshawahi kuinfluence your parents. Nasema hivi kutokana type of comment uliyotoa. Hivi wewe na Lissu nani shithole?una mchango gani kwa Tanzania kumzidi yy?unapata wapi ujasiri wa kumtusi?

Unakojoa against the wind sio? Obviously mkojo utakurudia na kukuchafua wewe mwenyewe.

Time will tell
Watu wengi maarufu duniani wanaopata tuzo ya Nobel ni watu walio maarufu katika nchi zao. Wanafanya makubwa kwa watu wa nchi zao. Usingetegemea Mandela afanye aliyoyafanya Tanzania. Kwa hiyo Lissu ni maarufu Tanzania na Mandela ni maarufu SA. Hata hivyo, kwa kuwa kinachofanyika TZ au SA kinaonekana ulimwenguni, ndo maana watu umaarufu wao unaruka mipaka ya nchi na kuonekana kwa wengi ulinwwnguni.
 
Sio lazima wawe maarufu kwao. Mfano prof Wangari Mathai kule kwao Kenya alianza kuwa maarufu baada ya hiyo tuzo.
Kwanza mi naiona ya kipuuzi tu unawezaje kumpa tuzo Obama na kumuacha Nyerere?Obama alifanya nini kizuri kumzidi Nyerere?
 
When Nelson Mandela was studying law at the University, a white professor, whose last name was Peters, disliked him intensely.

One day, Mr. Peters was having lunch at the dining room when Mandela came along with his tray & sat next to the professor.

The professor said,
"Mr Mandela, you do not understand, a pig & a bird do not sit together to eat"

Mandela looked at him as a parent would a rude child & calmly replied,
"You do not worry professor. I'll fly away,"
& he went & sat at another table.

Mr. Peters, reddened with rage, decided to take revenge.

The next day in class he posed the following question:
"Mr. Mandela, if you were walking down the street & found a package, & within was a bag of wisdom & another bag with money, which one would you take ?"

Without hesitating, Mandela responded, "The one with the money, of course."

Mr. Peters , smiling sarcastically said,
"I, in your place, would have taken the wisdom."

Nelson Mandela shrugged & responded, "Each one takes what he doesn't have."

Mr. Peters, by this time was fit to be tied. So great was his anger that he wrote on Nelson Mandela's exam sheet the word "IDIOT"
& gave it to Mandela.

Mandela took the exam sheet & sat down at his desk trying very hard to remain calm while he contemplated his next move.

A few minutes later, Nelson Mandela got up, went to the professor & told him in a dignified polite tone,

"Mr. Peters, you signed the sheet, but you did not give me the grade."

Don't mess with intelligent people....

Mandela hakuna wa kumfananisha zaidi ya Mwl. Nyerere. Acha wapuuzi wa leo kina sozinje eti wanajigamba kuvaa viatu vya Nyerere wakati hata English tu haipandi!
 
Back
Top Bottom