wiztech JF-Expert Member Joined Apr 20, 2020 Posts 259 Reaction score 511 May 8, 2020 #1 Wadau nina wazo la kwenda kuanzisha maisha huko Katesh mkoa wa Manyara naombeni kujua. Mandhari ya huko Hali ya hewa Biashara gani inaenda sana Nini cha kuzingatia kama mgeni Nitangulize shukrani wadau kama kuna lingine mnaweza kunisaidia. Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau nina wazo la kwenda kuanzisha maisha huko Katesh mkoa wa Manyara naombeni kujua. Mandhari ya huko Hali ya hewa Biashara gani inaenda sana Nini cha kuzingatia kama mgeni Nitangulize shukrani wadau kama kuna lingine mnaweza kunisaidia. Sent using Jamii Forums mobile app
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,808 Reaction score 2,048 May 8, 2020 #2 Cha kuzingatia ukiwa mgeni ni kujicontrol linapokuja suala la totozi. Mkuu kuna totozi za hatari ( visu ) usipokuwa makini utapukutishwa hela yako yote uondoke na mambupu tu.
Cha kuzingatia ukiwa mgeni ni kujicontrol linapokuja suala la totozi. Mkuu kuna totozi za hatari ( visu ) usipokuwa makini utapukutishwa hela yako yote uondoke na mambupu tu.