Leo muda gani? Ni dunia nzima au? Nipo nchi ambayo tunautofauti wa masaa 8 na tz pia naweza ona?Jana niliviona hivi vitu nikawa najiambia mwenyewe kuwa moja ni sayari japo siijui sayari gani(inayong'aa sana) na nyingine ni nyota. Asante mtoa mada kwa ufafanuzi zaidi. Leo ntakuwa makini pia kufuatilia
Jana ilikuwa mida ya saa 12 kuelekea saa 1 hivi. Kuhusu kuonekana dunia nzima pengine mtoa mada atusaidieLeo muda gani? Ni dunia nzima au? Nipo nchi ambayo tunautofauti wa masaa 8 na tz pia naweza ona?