jupiter

  1. W

    Sayari 4 Kuonekana Mwezi huu, kuanzia leo January 10, 2025

    Sayarai za Jupiter, Saturn, Mars na Venus zitaonekana angani katika maeneno mbali mbali mwezi huu kuanzia leo Tazama magharibi baada ya machweo kwa ajili ya kuona sayari ya Venus na Saturn. Sayari ya Mars itaonekana mashariki wakati Jua linazama. Unaweza kuona sayari za Venus, Mars na Jupiter...
  2. Utajua wewe

    Dunia imeisha, Transgender ni mbaya kuliko vita vya Israel

    habari wana JF!! Leo kati pita pita zangu mtandaoni nikapishana na baadhi ya video za kichafu za transgender, nilisisimka mpaka ndevu sikuwahi kujua maana ya transgender. Hapo nazidi kuamini kuwa siku za mwisho zipo na masiha atarudi, video zile ni mbaya kuliko hata vita. GOOBYE JF,NAMRUDIA...
  3. Mzawa_G

    Ijue sayari ya Jupiter kwa uchache

    1: Sayari ya Jupiter ni sayari kubwa kuliko zote kwenye mfumo wa jua.Kwa makadirio ina upana kwa kilomita 142,000 kutoka kwenye Equator yake.Sayari ya jupiter ni kubwa kiasi ambacho unaweza kuzikusanya sayari zingine 7 zilizobaki na kuziingiza zikaenea ndani yake. Kwa dunia yetu, inaweza kuingia...
  4. LIKUD

    Nani kaiona Planet Jupiter jana saa tisa usiku?

    Kwa siku tatu mfululizo sayari ya Jupiter imekuwa ikionekana mida ya saa tisa usiku (alfajiri?) Katika anga la sayari ya dunia. Amka leo saa tisa usiku Kisha tazama uelekeo linapo toka jua kwa juu yake kidogo utaiona Sayari ya Jupiter ina n'gaa . Inatoa mwanga wa rangi ya njano kama jezi za...
  5. M

    Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

    Inakuwaje wanajamvi? Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana kwa macho ya kawaida. Mlioko nyumbani bongo ama Africa kwa jumla mna bahati kwasababu anga liko wazi sky is clear. Tokeni nje sasa hivi mpige picha hata na simu mshare. Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati...
  6. Sam Gidori

    Once-in-a-lifetime experience: Sayari ya Mshtarii na Zohali zinatarajiwa kuonekana kama umbo moja usiku wa leo

    Baada ya zaidi ya miaka 400, leo usiku sayari mbili kubwa zaidi katika mfumo wetu wa jua, sayari ya Mshtarii (Jupiter) na Zohali (Saturn) zinatarajiwa kuonekana katika umbo moja kutoka duniani. Tukio hili linalotokea mara moja katika muda wa uhai wa mwanadamu linafanya sayari hizo mbili...
  7. njiwaji

    Mandhari ya kuvutia angani - Jozi la Sayari mbili jirani na Mwezi hilali

    Angalia mandhari ya kuvutia sana angani 16 na 17 Desemba, mara baada ya magharibi karibu na upeo wa magharibi: Mwezi hilali jirani kabisa na jozi la Mshtarii na Zohali. Watch the attractive sight 16 and 17 December of the crescent Moon close to the Jupiter-Saturn pair in the western sky soon...
  8. njiwaji

    Mandhari ya kuvutia angani - mwezi na sayari = moon among planets

    MANDHARI YA KUVUTIA ANGANI - MWEZI BAINA YA SAYARI (For English version see below) Kuanzia 29 Oktoba hadi 02 Novemba baada ya Mwezi kutoka kwenye giza ya mwandamo siku ya 28 Oktoba. Kati ya 29 Oktoba na 02 Novemba, Mwezi utauona unasogea angani ukiangalia upande wa magharibi mara baada ya...
Back
Top Bottom