Siku nyota aina ya jupiter na Saturn zikitoa energy basi barafu kwenye sayari ya neptune, uranus na pluto zitaondoka

Siku nyota aina ya jupiter na Saturn zikitoa energy basi barafu kwenye sayari ya neptune, uranus na pluto zitaondoka

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
 
Mkuu nahisi umeanza kuwehuka maana sio kwa kutoa madini magumu magumu ya ki Isaac Newton.

Bila shaka Kama taasisi za NASA wakijua Kuna hazina ya matirio maalumu ambayo ume/ unayamiliki moja kwa moja wewe ni raia wa USA na utagombaniwa na SPACE X 🚀
 
View attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
Msitutoe kwenye reli kesi ya lissu, kuvamiwa Kwa faza na kupotea Kwa Mdude.

Msidhani hatuwajuhi Kwa kutuletea vitu vya kusadikika.

Nyau de adriz
 
Hebu leo nijaribu kujibu kulingana na Level uliyopo.

Sasa bro ukiactivate Jupiter na Saturn zizalishe Joto kama Jua, ili Neptune ,Uranus na Pluto zisiwe na Ubaridi, huoni unaharibu ecologia?.

Alaf Faida kwa Tanzania /au Dunia itakuwa ni nini?.

Hapa haujapata huo Urais wa TZ ila ushafikiria kutawala hadi Sayar nyingne na kuharibu nature yake.

Ukipata hata Udiwan , wananchi watateseka sana ...
 
Back
Top Bottom