Siku nyota aina ya jupiter na Saturn zikitoa energy basi barafu kwenye sayari ya neptune, uranus na pluto zitaondoka

Akifaulu huu mtihani na misukosuko yoteee bila kukimbia jukwaa atakua mtu mmoja imara Sana. Alikosa uvumilivu atakimbia kama yule DALALI maana alipigwa na kila mtu mpaka AKAOMBA Jf wadelete account yake.

Huyu RAIS wetu ajaye .
Kuna sisi wanafunzi wa astronomy tunafatilia huu mtanange mkuu naomba muwe watulivu acheni maneno ya kufanya mtu awake awe mbogo jamni 😂😂😂😂
 
We jamaa una utani wa ngumi..
Ndo useme mwenzako aliugua kipindi kirefu alafu akapona... 😂😂😂😂
Hapo sijatania mkuu nimetoa maoni yangu kwa kile ninachokiona katika uongeaji wake, wewe .tazame kwa umakini tu. Inaonesha yupo mwenyewe tu sehemu ambayo anajirekodi lakini ana wasiwasi sana na pia anaharaka/hana utulivu kwenye kuongea kana kwamba ameshikiwa silaha nyuma ya kamera.

Kuna dogo huku mtaani maralia ya kupanda ilimpiga vibaya. Ikawa kila akikaa mahali dakika kadhaa anamwita baba yake aje amwokoe akidai anawaona wamasai wanataka kumchoma mikuki.
 
Hatareee na nusuu
 
Jamaa atakuja kukujibu sasa hvi kwa haya unayoongea..

The up caming president 😂😂😂😂
 
Haha kuna mambo yanachekesha sana, kwamba anawaona wamasai
😀 😀 😀 😀
 
🤣🤣🤣 aje tu kutoa maoni ni haki yangu hapa uzuri ni kutovunja sheria tu.
Mimi nafurahia uwepo wake pia, maana anafanya wadau wengine watoe madini ambayo sikuwahi kuyasikia kabla.
 
Mkuu acha kumsingizia President wetu, sio mgonjwa huyu ni time traveller katokea mwaka 2138 kafika kachoka tumpe muda.

Kaka.
Hili jambo tusipokua serious ataanza kuongea yasiyoongeleka. Ukiona anautamani uraisi kuna siku ataandika kitu hapa hata tushindwe kufungua kusoma tu.
We mpe mpaka uchaguzi wa oktoba kama hatakua na ban la mode basi mode watakua na kesi kisutu pale.
 
Haha kuna mambo yanachekesha sana, kwamba anawaona wamasai
😀 😀 😀 😀
Eee mkuu lakini dogo alipona na yuko freshi hadi leo ila ukitaka akufukuze na mawe pita karibu yake halafu useme "BABA NJOO.. NJOO WAMASAI WANATAKA KUNICHOMA MIKUKI.."

Utazunguka mtaa mzima anakukimbiza.
 
Jamaa atakuja kukujibu sasa hvi kwa haya unayoongea..

The up caming president 😂😂😂😂
Ila mkuu naamini ni kweli unanufaika na uwepo wa huyu Mheshimiwa, maana kuna siku ulimvaa mwamba mmoja katika uzi unaohusu haya mambo nilicheka mno, hadi nikaweka kumbukumbu hii post.
🤣🤣🤣
Screenshot_20241230_060134.jpg
 
View attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
Swali la msingi,

Hiyo project itakuwa na faida gani hapa duniani hususani Tanzania?
 
View attachment 3326103
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua
Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na watafundishwa kwa msisitizo mkubwa sana
Thibitisha practically kama wenzio, acha habari za kufikirika uonekane una akili kuliko waliokipa hiyo elimu
 
Back
Top Bottom