fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 6,029
- 6,379
Wewe umeambiwa na wajapan au wagogo?Subiria NASA na wazungu waje wakuambie
Wewe umeambiwa na wajapan au wagogo?Subiria NASA na wazungu waje wakuambie
Mimi sijaambiwa na mtuWewe umeambiwa na wajapan au wagogo?
Raisi anayetawala Tanzania , Jupiter , Saturn na sayar nyingne.Wooooow... Mr president again......
Mimi sijaambiwa na mtu
Umeoteshwa ,hongeraMimi sijaambiwa na mtu
🤣🤣🤣🤣🤣 uongeaji wake tu huyu mwamba unaonesha kuna kitu hakipo sawa kichwani.Raisi anayetawala Tanzania , Jupiter , Saturn na sayar nyingne.
Kitu hajui ni kuwa yeye yuko Obsessed na mambo ya Anga na sio Uraisi.🤣🤣🤣🤣🤣 uongeaji wake tu huyu mwamba unaonesha kuna kitu hakipo sawa kichwani.
Ni kama vile mtu ambae ameugua kwa muda mrefu halafu akapona.
au ni typing error mkuu ulikua unamaanisha nyokaZile ni nyota
Wewe ndo mana kuna jamaa kule alitaka akupige...Mkuu nahisi umeanza kuwehuka maana sio kwa kutoa madini magumu magumu ya ki Isaac Newton.
Bila shaka Kama taasisi za NASA wakijua Kuna hazina ya matirio maalumu ambayo ume/ unayamiliki moja kwa moja wewe ni raia wa USA na utagombaniwa na SPACE X 🚀
😅😅😅 Jamaa kwa nyakati tofauti tofauti amekuja akiweka thread za kusadikika mambo yaliyo kwenye DHAHANIA🤣🤣Wewe ndo mana kuna jamaa kule alitaka akupige...
Watu wapo serious we unaanza kutuchekesha hapa 😂😂😂😂
Daaah ila kuna watu wakorofi sana aiseee..😅😅😅 Jamaa kwa nyakati tofauti tofauti amekuja akiweka thread za kusadikika mambo yaliyo kwenye DHAHANIA🤣🤣
YAAN akiendelea na haya MAANDIKO ifanyike jitihada za kimakusudi aunganishwe na WATU wa NASA ama ikiwezekana aunganishwe na SPACE X ikishindikana Mimi najitolea kwenda UBALOZI WA MAREKANI HAPA NYUMBANI TANZANIA.😊☺️
Ni mwanasayansi au ni Raisi? 😂😂😂Daaah ila kuna watu wakorofi sana aiseee..
Mwacheni mwanasayansi bana mbona mnazingua hvo wakuu 😂😂😂😂😂😂
Jamaa ana kitu
😂😂😂😂😂 Wa bongo jau sana..Ni mwanasayansi au ni Raisi? 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 uzuri wa Mr president ana busara yeye hata ukimtukana atakujibu tu. "hii mada ipo juu ya uelewa wako"Dennis Roberts mkuu samahani .
Kun jamaa juu huko anasema ety uongeaji wako kama mtu aliyeugua mda mrefu alafu akaja kupona...
Hi ni kweli mkuu
Akifaulu huu mtihani na misukosuko yoteee bila kukimbia jukwaa atakua mtu mmoja imara Sana. Alikosa uvumilivu atakimbia kama yule DALALI maana alipigwa na kila mtu mpaka AKAOMBA Jf wadelete account yake.😂😂😂😂😂 Wa bongo jau sana..
Fanyeni mumpumzishe mwamba bana mbona anatoa madini