Siku nyota aina ya jupiter na Saturn zikitoa energy basi barafu kwenye sayari ya neptune, uranus na pluto zitaondoka

Siku nyota aina ya jupiter na Saturn zikitoa energy basi barafu kwenye sayari ya neptune, uranus na pluto zitaondoka

Awahiwe huyu....video itakayofuata ni aidha auwe mtunama ajiuwe yeye LIVE🤔
kwa sauti matamshi na muonekano...KUNA KITU HAKIPO SAWA😳!
 
Aanza kwanza kutoa ujinga unaokusumbua wewe
😄 🤣 😂 😆 embu leta chanzo chako cha utafiti kinachosema Jupiter na Saturn hazipo kwenye mfumo wa jua!! Unatumia sayansi au ushirikina hayati Yahaya Hussein?
 
Kusoma kupitia mzungu hakukuzui wewe kuwa na fikra huru

Mchina katumia technologies ya mzungu na leo Kampita

Nchi ya kwanza kuwa na viwanda vya kisasa ni uingereza ila leo hii imepitwa na South Korea, Japan na nchi nyingi tu

Usiishi kimazoea

1. Haujajibu swali langu .

2. China ana technology gani inayomzidi mzungu? 😂😂 mchina alichofanya ni ku grow faster na kuweza ku catch up na dunia ya kwanza hakuna alichompita mzungu na kwa sababu ume generalize 'mzungu' labda uniambie ni nini mchina alichompita USA ?
 
Uongoze kwenye manufacturing output alafu unasema kamzidi nini mzungu hizi akili za wapi

China ndo nchi ya kwanza duniani kuwa na manufacturing output kubwa
 
Back
Top Bottom