Dont mention mkuu biriani tz hakuna wanakoipika ukiondoa migahawa ya wahindi, nlikula hii kitu mwaka mzima kila siku, nlikuwa nikien dachoo natamani kulia coz kama umepakwa pilipili vile. Sikuwa na optio n sababu ndo msosi pekee wa bei ndogo uliokuwa ukipatikana maeneo yale, nikawanabana vihela nikirudi hom nirudi ja chochote