britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kundi maarufu kama man dojo na Domo kaya, wameeleza walivyokuja dsm mara ya kwanza na kuibiwa kila kitu
Wameenda mbali na kutoa shukurani za pekee Kwa Producer Majani maarufu kama Paul, kwamba ndo amewatoa kimziki Kwa kuwarekodia Bule nyimbo zao nyingi bila kulipa,
Mara ya kwanza walichukua basi mpaka bongo city ,vingunguti kwa mama mdogo yao kiki yaan alikoolewa aunt, wamechukua pesa Yao wameona na buti wakaenda Kwa majani kurekok bila viatu,
Hii inaonesha siku zinavyoenda haraka sana
Pita hapa pia uone mega mix Yao yote