britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mandojo anasoma elimu ya juu nchini Syria mambo ya Oil and Gas, Domokaya yupo nchin Nigeria anamiliki visima vya mafuta na Mtwara ana vitalu vya gesi.Hawa jamaa sijui saiv wapo wapi saiv jaman
HakikaZamani kulikuwa na vipaji vya ukweli asaiv magumashi tu
Now ninHawa wagos wana ngoma moja wameimba na jide aisee ile ngoma ni noma sana sema waliharibu kitu kidogo tu na nikiisikilizaga hiyo ngoma hata hicho kitu walichoharibu huwa nakikosa
LONDON BOY
Kama ni hivyo itakuwa ni vyema sana, kwasababu itakuwa sio vizuri kwa watu kama wale kugombania coverage kwenye media na hichi kizazi cha .com, labda wafanye mziki for leisure tu.Mandojo anasoma elimu ya juu nchini Syria mambo ya Oil and Gas, Domokaya yupo nchin Nigeria anamiliki visima vya mafuta na Mtwara ana vitalu vya gesi.
Sina uhakika na niyasemayo
Kwani hujui Mamdogo kwa kiingereza ni Aunt !!!Nikaenda zangu kwa mamdogo kiki vingunguti alikoolewa aunt...
Wewe ndio mshamba mgeni mjini hicho ni kipande cha wimbo wao nimesahau jina lake hapo aliimba domokaya!Kwani hujui Mamdogo kwa kiingereza ni Aunt !!!
Elimu
Elimu
Elimu
Wimbo unaitwa NiajeNikaenda zangu kwa mamdogo kiki vingunguti alikoolewa aunt...
Iwee wagumaNow nin
Niaje atupatani, ikapigwa simu twende Alhamisi tikafanye voko, nikachukua basi mpaka bongo city ,vingunguti kwa mama mdogo kiki ,alipoolewa auntWewe ndio mshamba mgeni mjini hicho ni kipande cha wimbo wao nimesahau jina lake hapo aliimba domokaya!
NgumileIwee waguma