Mandojo na Domo Kaya: Tumeibiwa kila kitu tunashukuru P-Funk majani katurekodia bure

Tunaangalia ujumbe
 
Mandojo anasoma elimu ya juu nchini Syria mambo ya Oil and Gas, Domokaya yupo nchin Nigeria anamiliki visima vya mafuta na Mtwara ana vitalu vya gesi.
Sina uhakika na niyasemayo
Mmh hivi hawa hawauzi duka LA viatu kariakooo mtaa wa Kongo wanajiita chambu chambu.

Au nimechanganya mafile
 
Hawa wagos wana ngoma moja wameimba na jide aisee ile ngoma ni noma sana sema waliharibu kitu kidogo tu na nikiisikilizaga hiyo ngoma hata hicho kitu walichoharibu huwa nakikosa


LONDON BOY
Haaaaaaa wanok nok
 
Wako kkoo mtaa wakongo wana duka la viatu
 
MASIKINI WENYE MAJINA MAKUBWA, haya ndio mambo asiyoyataka Diamond platnumz, tatizo la Dojo na domokaya hawajajitambua mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…