Mandojo na Domo Kaya

Mandojo na Domo Kaya

ngalelefijo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Posts
3,966
Reaction score
2,596
Wako wapi hawa jamaa wali hit sana kwenye early 2000s.

Tujuzane.
 
Wakuu!hawa jamaa wapo tena muda c mrefu domo kaya ataachia ngoma mpya..
 
Mara ya mwisho nilisikia wanabugia mapouda hatari
 
We itakuwa unaugua kichaa
Unajibu tofauti na kinachoulizwa
Sijui ni sifa gani mnazo ma braza wangu

mkuu mi nakosa gani? kauliza wako wapi? sasa akawatafute huko wamwambie walipo, sasa sisi tutajulia wapi walipo?
 
.inaelekea hujatukanwa muda mrefu hapa jf.sio kila kitu u comment ovyo ovyo mkuu

sasa mkuu mi nimekosea wapi? cha kufanya wewe wapigie simu kina mandojo na mwenzake watakwambia walipo sawa, sasa mkuu mi ntajuaje walipo?
 
Mara ya mwisho nilisikia wanabugia mapouda hatari

Wanavuta bangi saaaaana hata kabla ya kuwa wanamziki....man dojo ni mvutaji mzuri wa kaya sema mstaarabu...domo kaya yeye ni bangi na fujo anazipenda....nawafaham fika toka kitambo...ila now nasikia wako kariakoo kupambana na maisha.
 
Wako kko mtaa wa kongo karibu na ddc, wanauza viatu vya kike jumla na rejareja,viatu vya hali ya juu. Wako vizuri sana,wanaenda hadi china kufunga mzigo
 
Back
Top Bottom