Man'dojo na Domokaya

Man'dojo na Domokaya

Plama ni kwikwi!! Imewamaliza kabisa kuna single FA amewashirikisha Ila ile duet Yao ilkuwa ni hatar sa hivi tunapozwa na jambo squad watoto wa bibi ingawa na wao utoto mwingi
Jambo Squad nawanyaka hao machalii, si wa tejo sio? Waache tu uhuni wa kishamba, wana styles za kuwapeleka mbali. Janjaro ndio tumeshampoteza ama niaje?
 
Umbwa si alisepaga States ama? JCB pia niliskiaga atatembea. Yusso huyo bado simsomi. KCK niliiskia 'bigidi-boost' hapo january, mpaka leo naiskiliza daily. Kuna machalii walikuwa wanajiita FBG, nao kimya.

Duu fbg mmoja yupo marekani anapiga PhD ya law,...anaitwa boywander....mwingine alikua Malaysia anaitwa Ismail, na mwingine yupo town kwenye mishe tofauti na mziki anaitwa Kc
 
Yaah mkuu umbwa sasahv yupo mambele na wife wake mtasha na JCB nafikiri ni the same,kuna kichwa pia huyo Yusso msela,

Hawa FBG niliwasikia sana kuanzia 2009- ila namnyaka mmoja ni mkali sana anaitwa Benja Boyolocal alipiga law Tumaini na sasahv yupo German,ni mkali pia wa Basketball.
 
Hip Hop bongo ipo chuga na inafanywa kweli na Lomayani umbwa lotuno CHINDO alivokuwa anasepa mbele alidondosha pini kwa ajili ya wana #nakwenda #
 
Dah wanapungua tu arif, isije fika time Chuga ikakosa wa kutuwakilisha.
 
Yaah mkuu umbwa sasahv yupo mambele na wife wake mtasha na JCB nafikiri ni the same,kuna kichwa pia huyo Yusso msela,

Hawa FBG niliwasikia sana kuanzia 2009- ila namnyaka mmoja ni mkali sana anaitwa Benja Boyolocal alipiga law Tumaini na sasahv yupo German,ni mkali pia wa Basketball.
Mbona wanasepa raia kibao sasa, na sijaskia madogo wanaokuja ambao ni promising.
 
Duu fbg mmoja yupo marekani anapiga PhD ya law,...anaitwa boywander....mwingine alikua Malaysia anaitwa Ismail, na mwingine yupo town kwenye mishe tofauti na mziki anaitwa Kc

Sawasawa mkuu Boywander yupo USA ila alikuwa anajiita Boyolocal tukiwa naye chuo.shukran
 
Nimeamka leo nawakumbuka tu hawa jamaa, i had mad love kwao. Walikuwa na vipaji vya pekee na hatari, kizuri zaidi waliwakilisha napotokea. Mara ya mwisho niliwasikia kwenye 'Nenda' waliyofanya na Squeezer. Wako wapi siku hizi? Nini kilitokea? Bado wako pamoja kwenye game ama niaje?

Funguka tafadhali, kama unajua chochote kuwahusu

Mbona jamaa tupo nao hapa mtaa wa kongo n Narung'ombe wanauza viatu vya kike tena maarufu sana kwa wanawake ukifika dukan kwao wanawake wanakanyagana.
 
Hip Hop bongo ipo chuga na inafanywa kweli na Lomayani umbwa lotuno CHINDO alivokuwa anasepa mbele alidondosha pini kwa ajili ya wana #nakwenda #
Lifestyle ya Ara kwa ujumla inafuata miiko na kanuni za hip-hop kuliko sehemu nyingine, ila pia wapo baadhi ya wasanii wanatoka sehemu nyingine wanafanya rap ya ukweli kuwazidi rappers wetu.

Rappers wengi wa Ara wanafanya rap ngumu, zaidi ya rap inayoleta maana. Ndio maana tutam-miss sana Faza na X-Plastaz. Stopa nae alikuwa anajua anachokisema. Joh na weusi wamemezwa na mainstream. Shout-outs kwa G-Nako tho, kibongo-bongo ndio Nate Dogg wetu.
 
Mbona jamaa tupo nao hapa mtaa wa kongo n Narung'ombe wanauza viatu vya kike tena maarufu sana kwa wanawake ukifika dukan kwao wanawake wanakanyagana.
Angalau wanafanya kitu kinaeleweka. Game ndio basi tena?
 
Aisee ni kweli wanapungua bablai sema nini ujue Chuga ni Kama Bronx watatokeaga tu kutuwakilisha arifu

Ama nini, tutawa-support tu kama kawa. Na siku hizi machalii wengi wanapita skuli, so itakuwa yechu yechu.
 
Mateja wa kutupwa hao, Arachuga hakujawahi kutokea mwana hip hop mkali kupita spark dog, jamaa sijui yuko wapi sasa hivi
 
Wako vizuri sana hawa jamaa sijui kwanini wamekuwa kimya?
 
Pia kuna wimbo walimshirikisha Maunda Zorro mzuri sana unaitwa masimango.

Nasikia wamekua wateja siku hizi!

Hakuna kipindi hawakua mateja hawa_kabla na baada ya muziki ni mateja full...i know them much.
 
Mbona jamaa tupo nao hapa mtaa wa kongo n Narung'ombe wanauza viatu vya kike tena maarufu sana kwa wanawake ukifika dukan kwao wanawake wanakanyagana.

Hahaha unachosema nikweli mkuu jamaa ukiingia dukani kwao kkoo ni wanawale kibao wamejaa wanacheki viatu hata pakukaa hamna. Ni vizuri wanapata pesa life inasonga.
 
Nimeamka leo nawakumbuka tu hawa jamaa, i had mad love kwao. Walikuwa na vipaji vya pekee na hatari, kizuri zaidi waliwakilisha napotokea. Mara ya mwisho niliwasikia kwenye 'Nenda' waliyofanya na Squeezer. Wako wapi siku hizi? Nini kilitokea? Bado wako pamoja kwenye game ama niaje?

Funguka tafadhali, kama unajua chochote kuwahusu

juz kati walikua cloudz (XXL) wanareview album yao ile wakasema wanapiga mishe kariakoo pia wako fresh wanasupport familia yao fresh yan. Leo nimekumbuka sana home aseee
 
Back
Top Bottom