TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
- Thread starter
-
- #21
Jambo Squad nawanyaka hao machalii, si wa tejo sio? Waache tu uhuni wa kishamba, wana styles za kuwapeleka mbali. Janjaro ndio tumeshampoteza ama niaje?Plama ni kwikwi!! Imewamaliza kabisa kuna single FA amewashirikisha Ila ile duet Yao ilkuwa ni hatar sa hivi tunapozwa na jambo squad watoto wa bibi ingawa na wao utoto mwingi
Umbwa si alisepaga States ama? JCB pia niliskiaga atatembea. Yusso huyo bado simsomi. KCK niliiskia 'bigidi-boost' hapo january, mpaka leo naiskiliza daily. Kuna machalii walikuwa wanajiita FBG, nao kimya.

Dah wanapungua tu arif, isije fika time Chuga ikakosa wa kutuwakilisha.Duu fbg mmoja yupo marekani anapiga PhD ya law,...anaitwa boywander....mwingine alikua Malaysia anaitwa Ismail, na mwingine yupo town kwenye mishe tofauti na mziki anaitwa Kc
Mbona wanasepa raia kibao sasa, na sijaskia madogo wanaokuja ambao ni promising.Yaah mkuu umbwa sasahv yupo mambele na wife wake mtasha na JCB nafikiri ni the same,kuna kichwa pia huyo Yusso msela,
Hawa FBG niliwasikia sana kuanzia 2009- ila namnyaka mmoja ni mkali sana anaitwa Benja Boyolocal alipiga law Tumaini na sasahv yupo German,ni mkali pia wa Basketball.
Duu fbg mmoja yupo marekani anapiga PhD ya law,...anaitwa boywander....mwingine alikua Malaysia anaitwa Ismail, na mwingine yupo town kwenye mishe tofauti na mziki anaitwa Kc
Nimeamka leo nawakumbuka tu hawa jamaa, i had mad love kwao. Walikuwa na vipaji vya pekee na hatari, kizuri zaidi waliwakilisha napotokea. Mara ya mwisho niliwasikia kwenye 'Nenda' waliyofanya na Squeezer. Wako wapi siku hizi? Nini kilitokea? Bado wako pamoja kwenye game ama niaje?
Funguka tafadhali, kama unajua chochote kuwahusu
Lifestyle ya Ara kwa ujumla inafuata miiko na kanuni za hip-hop kuliko sehemu nyingine, ila pia wapo baadhi ya wasanii wanatoka sehemu nyingine wanafanya rap ya ukweli kuwazidi rappers wetu.Hip Hop bongo ipo chuga na inafanywa kweli na Lomayani umbwa lotuno CHINDO alivokuwa anasepa mbele alidondosha pini kwa ajili ya wana #nakwenda #
Angalau wanafanya kitu kinaeleweka. Game ndio basi tena?Mbona jamaa tupo nao hapa mtaa wa kongo n Narung'ombe wanauza viatu vya kike tena maarufu sana kwa wanawake ukifika dukan kwao wanawake wanakanyagana.
Dah wanapungua tu arif, isije fika time Chuga ikakosa wa kutuwakilisha.
Aisee ni kweli wanapungua bablai sema nini ujue Chuga ni Kama Bronx watatokeaga tu kutuwakilisha arifu
Alifanya ngoma gani?Mateja wa kutupwa hao, Arachuga hakujawahi kutokea mwana hip hop mkali kupita spark dog, jamaa sijui yuko wapi sasa hivi
Pia kuna wimbo walimshirikisha Maunda Zorro mzuri sana unaitwa masimango.
Nasikia wamekua wateja siku hizi!
Mbona jamaa tupo nao hapa mtaa wa kongo n Narung'ombe wanauza viatu vya kike tena maarufu sana kwa wanawake ukifika dukan kwao wanawake wanakanyagana.
Pia kuna wimbo walimshirikisha Maunda Zorro mzuri sana unaitwa masimango.
Nasikia wamekua wateja siku hizi!
Dah! Noma sana. Washkaji, Stopa na Faza ndio niliokuwa najivunia popote, siku yoyote. Kama ni kweli wamekuwa mateja, basi nimevunjika moyo kinoma.