TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
- Thread starter
-
- #41
Wapo na mbishe mingine...hakuna mteja kati yao..
Bora hata wanajiweza arif. Game ndio wamesanda kabisa, ama watakuwa wanachungulia?juz kati walikua cloudz (XXL) wanareview album yao ile wakasema wanapiga mishe kariakoo pia wako fresh wanasupport familia yao fresh yan. Leo nimekumbuka sana home aseee
Wapo na mbishe mingine...hakuna mteja kati yao..
Kwa hiyo bado wanarekodi, sio?Hawa jamaa niliwa shuhudia kama mwezi ulio pita wako fresh sasa nashangaa watu kusema wamekuwa mateja na jiuliza huo uteja wameanza mwezi uliopita? Na kwenye interview yao walisema wana fanya biashara na wanakwenda kurecord kila leo.!.
Kusema wao ni mateja si kweli...na kumenifanya ni kumbuke maneno yao ya wimbo wao wa wanoku naku!
" Wanakunaku watakupakazia...wasio yajua wao kuingilia .......
Bora hata wanajiweza arif. Game ndio wamesanda kabisa, ama watakuwa wanachungulia?
Mateja wa kutupwa hao, Arachuga hakujawahi kutokea mwana hip hop mkali kupita spark dog, jamaa sijui yuko wapi sasa hivi
Umbwa si alisepaga States ama? JCB pia niliskiaga atatembea. Yusso huyo bado simsomi. KCK niliiskia 'bigidi-boost' hapo january, mpaka leo naiskiliza daily. Kuna machalii walikuwa wanajiita FBG, nao kimya.
Alifanya ngoma gani?
Yuko Arusha wako na bucks kundi Lao linaitwa KCK "kid can kill" sasa hivi wanatamba na wimbo wao wa kitaa wiise ambao remix yake wameimba na Adam Mchomvu
Hakuna kipindi hawakua mateja hawa_kabla na baada ya muziki ni mateja full...i know them much.
Pia kuna wimbo walimshirikisha Maunda Zorro mzuri sana unaitwa masimango.
Nasikia wamekua wateja siku hizi!
Mkuu IGWE hebu tudadavulie vizuri maana umesema unawajua vizuri.
Naona watu wanapinga hapa kua sio wateja.
Hebu thibitisha hili mkuu