Mandonga anastahili kurithi mikoba ya Haji Manara na kuwa msemaji rasmi wa klabu ya Yanga

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
MANDONGA ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA HAJI MANARA NA KUWA MSEMAJI RASMI WA KLABU YA YANGA

Apoteza pambano lakini anafaa kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga kwani anao weledi mkubwa wa kujieleza, ucheshi, uhamasishaji, kutokata tamaa & anakubalika sana na Watanzania wengi!

Twende na Mandonga
Tuachane na Manara

 
Hivi mandoga kabila gani? Msinielewe vibaya
 
Huyu lazima atakaribishwa mjengoni
Kule idodomyaa

Nyie subirini

Ova
 
Mandonga kwenye ngumi aliingia cha kike, nafhani kwenye kilimo ata perform, lakini ulingoni atakuja uwawa siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…