Mandonga apigwe stop kupanda ulingoni

Tangu gsm waingilie suala la Mandonga na kupewa jezi ya utopolo hata ushindi wanajaribu kumtafutia kimchongo mchongo.
Utaona waamuzi tayari wamekuwa na utata kwenye kazi zao
GSM tena? huu usimba na Yanga unawaharibu akili watu
 
Street fight
 
Bondia kwa mwaka anatakiwa kupigana mapambano mawili yeye anafanya kama sifa madhara yake hataona sasa hivi ngoja umri usogee kidogo atajuta
Kama ni fights mbili kwa mwaka hao mabondia wanao pigana Olympic inakuaje maana mpka afike final ni games zisizo pungua 4 tena ndani ya mwezi mmoja
 
Ukweli uwekwe wazi mandonga kawazidi mabondia wengi kwa umaarufu na mafanikio..............ndani ya muda mfupi account yake ya benki imevimba millioni 10 na kausafiri amejipatia......
 
Ukweli uwekwe wazi mandonga kawazidi mabondia wengi kwa umaarufu na mafanikio..............ndani ya muda mfupi account yake ya benki imevimba millioni 10 na kausafiri amejipatia......
Hakuna mwenye shida na umaarufu wa mandonga ni jambo la kufurahia pale kijana mwenzetu anapofanikiwa. Anaweza kufata utaratibu na miiko ya huu mchezo na akaendelea kuwa maarufu
 
Hakuna mwenye shida na umaarufu wa mandonga ni jambo la kufurahia pale kijana mwenzetu anapofanikiwa. Anaweza kufata utaratibu na miiko ya huu mchezo na akaendelea kuwa maarufu
Hawa watu hawajui jinsi boxing ilivyo katili Mohamed Ali mwenyewe alikuwa anatetemeka maisha yake yote baada ya kustaafu

Ukipata chance ya kuona watu waliopata ulemavu wa kudumu kupitia boxing hutasifia mtu kuingia kwenye Ring kizembe
 
Nilichokiona Mandonga aliwekwa katika list ya mabondia wataopanda uliongoni mwishoni kabisa,maana mwanzoni hakuwepo katika ratiba! Sasa nadhani hakufanya mazoezi ya kina,maana alivyocheza na Kaonneka alicheza vizuri kuliko ule utopolo wa jana na mpinzani ambaye sio mzuri.
 
Hayupo siriaz ashajua akileta mizaha ndo anatrend zaidi, mchezo wa ngumi utaonekana ni maigizo na mizaha au comedy fulani kwa sababu yake
 
Man don't cry, sasa hivi anajazwa upepo na umaarufu wa muda, ila siku akikaa vibaya anaweza akakata moto ulingoni

Huyu kenge kuna siku atafia ulingoni, hizi njaa zake zinakompeleka siyo kuzuri....

Ngumi siyo komedi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…