bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
GSM tena? huu usimba na Yanga unawaharibu akili watuTangu gsm waingilie suala la Mandonga na kupewa jezi ya utopolo hata ushindi wanajaribu kumtafutia kimchongo mchongo.
Utaona waamuzi tayari wamekuwa na utata kwenye kazi zao