Mandonga ashinda pambano lingine Nchini Kenya

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Mandonga alishinda tena pambano lake huko Nairobi Kenya kwa kumpiga Keneth Lukwamuzi, juzi Jumapili.

Nimeona nipost hii habari japo kwa kuchelewa ikizingatiwa jamaa alikuwa anaiwakilisha nchi. Baada ya ushindi, Mandonga alisema atarudi Nairobi kumpiga (jina nimesahau).

Inaonekana Mandonga ana afya nzuri, maana baada ya mwezi atapigana tena pambano la kimataifa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…