Mandonga azuiliwe kucheza ndondi atakuja kuuawa

Mi nadhani aendelee kupigana apate pesa, Ila awe mjanja asikubali kipiga. Mtu akipiga ngumi Kali akiikwepa anajiangusha chali, pambano linaisha na yeye anapiga mpunga wake. Refer baadhi ya mapambano ya Tyson
 
Shabaan kaoneka najua umeshawishiwa tu mdogo wangu.
Hapa umekutana na muhogo wenye mzizi.. umeyakanyaga
Nakusihi uje na jeneza
 
Mwache apigwe tu.
Kuna dogo mmoja yuko team Mayweather aliwai tukana sana mpinzani wake kabla ya pambano.
Alipigwa TKO wamefanya kumtoa ulingoni kashikiliwa,udenda huo anatetemeka,
Mwenzie anatangazwa mshindi huku ye anapelekwa back room lakini bado anasema 'narudi kumchapa huyo nyie ngojeni'🤣🤣🤣
 
Mtu kazi, ile ni ajali kazini
 
Aende kwa watunisha misuli au kunyanyua vitu vizito atengeneze mwili kama kina Randy Orton au The Rock !!! Michezo ni mingi ya kushiriki anaweza pia kuchukuliwa kwenye movies ! Hollywood kama body lake likikubali
Yaan mandonga mpaka Hollywood ?? Mkuu hauko serious.
 
Umri pia umemtupa mkono
 
Mambo yake muachieni mwenyewe...

Anayepigwa ni yeye na maumivu anayapata ni yeye...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…