Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nahitaji pambano na mandonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji pambano na mandonga
30/50 or 25/5050/50?
hahahahahaHiyo ni kazi kama kazi zingine. Mandonga Mtu Kazi
Jamaa hata sijui anaongea nini haoni sasa Mandonga anatrend na keshapata dili za matangazo. Bila kupigwa asingekuwa hapoWatu wapo kazini mkuu....
Kaiona fursa ya maisha mwache aitumie.
Kufa hata ukitembea barabarani unaweza kufa.
[emoji38][emoji38][emoji38]Ila jamaa muongo sanaa...kasema amelogwa...kila punch ikija ilikuwa ni mshale na si ngumi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Shabaan kaoneka najua umeshawishiwa tu mdogo wangu.
Hapa umekutana na muhogo wenye mzizi.. umeyakanyaga
Nakusihi uje na jeneza
Mtu kazi, ile ni ajali kaziniHuu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha kifo .
Mandonga anazipenda sana ngumi ila hana uwezo , AZUILIWE KUINGIA ULINGONI KWA MANUFAA YAKE NA FAMILIA YAKE
Yaan mandonga mpaka Hollywood ?? Mkuu hauko serious.Aende kwa watunisha misuli au kunyanyua vitu vizito atengeneze mwili kama kina Randy Orton au The Rock !!! Michezo ni mingi ya kushiriki anaweza pia kuchukuliwa kwenye movies ! Hollywood kama body lake likikubali
Umri pia umemtupa mkonoHuu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha kifo .
Mandonga anazipenda sana ngumi ila hana uwezo , AZUILIWE KUINGIA ULINGONI KWA MANUFAA YAKE NA FAMILIA YAKE