Mandonga mtu kazi akutana na Godbless Lema

Mandonga mtu kazi akutana na Godbless Lema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Bondia maarufu wa Tanzania, Mandonga, amepata bahati ya kukutana na Mwanasiasa Mashuhuri mwenye koneksheni kubwa Duniani, Godbless Lema.

Wawili hao wamebadilishana mawili matatu na bila shaka sasa tutarajie pambano kabambe la Mandonga Ulaya au America.

Tunawatakia kila la heri.

FB_IMG_1678791650435.jpg
 
Mmaarufu wa Tanzania, Mandonga, amepata bahati ya kukutana na Mwanasiasa Mashuhuri mwenye koneksheni kubwa Duniani, Godbless Lema...
Mashuhuri ni kitu pendwa katika jamii husika, unaweza kuwa maarufu Kama amber ruty Ila usiwe mashuhuri,lema umashuhuri kaupata lini!?

Hapo mandonga ndiye maarufu na mashuhuri,lema maarufu tu(kiarabu yaani anayejulikana,mzizi wa neno ni maarifa)
 
Mashuhuri ni kitu pendwa katika jamii husika, unaweza kuwa maarufu Kama amber ruty Ila usiwe mashuhuri,lema umashuhuri kaupata lini!?..hapo mandonga ndiye maarufu na mashuhuri,lema maarufu tu(kiarabu yaani anayejulikana,mzizi wa neno ni maarifa)
unateseka ukiwa wapi ?
 
Back
Top Bottom