Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Tukuite nani sasa hapo ulipo kakaa🤔.Kama alisema bodaboda ni kazi ya laana,huku kwenye ngumi atasemaje?
Nipo paleeeeeeeeeeh[emoji1485]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukuite nani sasa hapo ulipo kakaa🤔.Kama alisema bodaboda ni kazi ya laana,huku kwenye ngumi atasemaje?
Nipo paleeeeeeeeeeh[emoji1485]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Tukuite nani sasa hapo ulipo kakaa[emoji848].
Makamanda wote tuko hivyo yaaniLema ingawa alikimbia nchini,lakini jinsi Lema alivyokunja ngumi anaonekana ni fundi sana wa kupiga ngumi za chembe.
Hapo lazima Lema akaeBondia maarufu wa Tanzania, Mandonga, amepata bahati ya kukutana na Mwanasiasa Mashuhuri mwenye koneksheni kubwa Duniani, Godbless Lema.
Wawili hao wamebadilishana mawili matatu na bila shaka sasa tutarajie pambano kabambe la Mandonga Ulaya au America.
Tunawatakia kila la heri.
View attachment 2550636
Kwani rema ni promotaBondia maarufu wa Tanzania, Mandonga, amepata bahati ya kukutana na Mwanasiasa Mashuhuri mwenye koneksheni kubwa Duniani, Godbless Lema.
Wawili hao wamebadilishana mawili matatu na bila shaka sasa tutarajie pambano kabambe la Mandonga Ulaya au America.
Tunawatakia kila la heri.
View attachment 2550636
Huwezi jua mkuuKwani rema ni promota
Yako kubwa imekusaidia nini kitaifa,kimkoa,kiwilaya,kikata,kimtaa,kijirani na kifamilia?Narrow minded!
Ukweli mtupu ! au angepotea kabisa .Ingekuwa enzi za Magufuli, Mandonga angetekwa au kupewa kesi