Mandonga mtu kazi apiga mtu round ya kwanza

Mandonga mtu kazi apiga mtu round ya kwanza

Ushindi wake ndio njia yake ya umaarufu kuisha, trust me guys.
Hapa Mandonga kachemsha,tunajua lile ni igizo tu Ila kwa vile sanaa yake ya maigizo iko katika kushindwa pambano, na hili angeigiza kushindwa tena ndiyo angekonga nyoyo za washabiki wake.
 
Mashabiki wamechachamaa 😂😂
Screenshot_20220821_223021.jpg
Screenshot_20220821_223009.jpg
 
Hawa waliondaa huu mchezo ni lazima wakamwatwe na kushtakiwa kosa kubwa katika mchezo kupanga ni kosa la jinai ila kama lilikuwa pampano la kuchangisha kitu au kuhamasisha kitu fulani au tangazo la biashara nitaelewa ila kama wako serious basi walioandaa wakamatwe haraka na chama cha ngumi kichukue hatua kali wana najisi mchezo wa ngumi. Hii ni staged kabisa imepangwa
sioni kosa kama wamepimwa uzito na wote wako sawa
 
Akipigwa kila siku pia itazoeleka watu watampotezea watajua huyu hana jipya tena zaidi ya kupigwa na umaarufu wake utaisha
katika wachangiaji wote,we ndio umeandika point na fact!

Siyo kila siku maharage,kuna kukinahi


All the best kwa Mandonga!
 
Back
Top Bottom