Mandonga mtu kazi apiga mtu round ya kwanza

Ushindi wake ndio njia yake ya umaarufu kuisha, trust me guys.
Hapa Mandonga kachemsha,tunajua lile ni igizo tu Ila kwa vile sanaa yake ya maigizo iko katika kushindwa pambano, na hili angeigiza kushindwa tena ndiyo angekonga nyoyo za washabiki wake.
 
sioni kosa kama wamepimwa uzito na wote wako sawa
 
Akipigwa kila siku pia itazoeleka watu watampotezea watajua huyu hana jipya tena zaidi ya kupigwa na umaarufu wake utaisha
katika wachangiaji wote,we ndio umeandika point na fact!

Siyo kila siku maharage,kuna kukinahi


All the best kwa Mandonga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…