Mandonga mtu kazi aua mtu Njombe raundi ya kwanza tu!

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Bondia Karim Mandonga akiwa mwenye ubora wake amemtandika mtu huko mkoani Njombe katika raundi ya kwanza. Mandonga ambaye kwake kupigana ni kama mchezo wa ligi kuu ya soka nchini, akipigana kila wikiendi ili kujiongezea kipato na umaarufu, alionekana kama anapigana na mlevi vile kwani mwenzake alikuwa akirusha ngumi utadhani mla unga. Mandonga akajiokotea kiulaini na kuanza kutamba ndani ya ulingo.

Said Mbelwa, kaa chonjo, mtu kazi amebadilika sana.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Mandonga mbele kwa mbele, acha waisome namba eeeeh wapinzani wote ndoige mbele kwa mbeleeeeee.
 
Mandonga anapiga kama vile umemuulia mama yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…