Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Bondia Karim Mandonga akiwa mwenye ubora wake amemtandika mtu huko mkoani Njombe katika raundi ya kwanza. Mandonga ambaye kwake kupigana ni kama mchezo wa ligi kuu ya soka nchini, akipigana kila wikiendi ili kujiongezea kipato na umaarufu, alionekana kama anapigana na mlevi vile kwani mwenzake alikuwa akirusha ngumi utadhani mla unga. Mandonga akajiokotea kiulaini na kuanza kutamba ndani ya ulingo.
Said Mbelwa, kaa chonjo, mtu kazi amebadilika sana.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Said Mbelwa, kaa chonjo, mtu kazi amebadilika sana.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app