Mandonga mtu kazi!!!!

Unaambiwa bomu la nuclear likiwekwa karibu na mandonga lina yeyuka
Ndo maana niliskia eti,

Baada ya Mungu kuiumba dunia ndani ya siku saba, alipumzika na kumuachia Mandonga iyo kazi!!!
 
Ndo maana niliskia eti,

Baada ya Mungu kuiumba dunia ndani ya siku saba, alipumzika na kumuachia Mandonga iyo kazi!!!
Mandonga mtu kazi.

Akicheka ni mtetemeko duniani akinuna ni radi zina pishana
 
Kama una elfu tano, na Mandonga ana elfu tano...Mandonga ana pesa nyingi kuliko wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…