Shikamoo dada KaruceeSredi za hivi huwa zinanoga kama ni old members ndo zinakuwa na kauhalisia.
Sio join date leo, tayari ana comments za kipumbavu 3 afu anabana pua huku ana type nyai nyav nyuuuu. [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Shubaamit.
ukiwa expert member kuna commission unalipwa?Jitahidi tu bado kidogo utakuwa expert member
Sredi za hivi huwa zinanoga kama ni old members ndo zinakuwa na kauhalisia.
Sio join date leo, tayari ana comments za kipumbavu 3 afu anabana pua huku ana type nyai nyav nyuuuu. ππππππ
Shubaamit.
Hahahaaaaa.Si ndo vijana mnavyovipenda hivi dada Gilesi? na ndo michezo vinavyowaletea