Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
To get something you never had, you have to do something you never did. manengelo this is your wake up call [emoji3517]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππOhooooo nimechelewa wapi leo?
Zako unazipuuza?
[emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£aiseeYani acha tuu.. Huyu nadhani hata D tatu za kwenda the amazon college kakosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha haha Mzee umepotea sana ndio maana vitu kama hvyo vinakupitaTehtehte.
Kwa hiyo kumbe Asprin , Saint Ivuga na Bonny hii siri wanaijua toka siku nyingi ila wamenificha eeeh?
Mamy weeee manengelo
nmechelewa kuona Aseee πππ
ππagemates wanasumbua dada zaoππππ nacheka tu hapa mm...nilisahau kukuita janaπ£π£
ππagemates wanasumbua dada zao
ππππππͺβTafuta kwanza pesa ..haya mengine waachie wakubwa
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Dada nyota ya kupandishwa midaladala inang'ara kweli. Ha ha ha.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Dada nyota ya kupandishwa midaladala inang'ara kweli. Ha ha ha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ulivyo mzuri na midaladala hiyo mie nacheka tuu.[emoji28][emoji111] na ambavyo zinanichosha sasa hv[emoji22][emoji22][emoji22]...unajikuta kwa siku kakupandisha daladala 3[emoji28][emoji28][emoji28]...aisee...
Jamani jamani jamani Dada,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]wewe@sadari atleast umtongoze hyu babydoll ndo agemate wako...sema haka nako kazuri mno katakusumbua[emoji23][emoji23]