Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
😅😅😅daladala dar zimenikata 5kgs...yaan ni panda shuka panda shuka😑😑😑..nikishasahau kbs maisaha haya ..ila ntacope..huy mm sio size yangu mdogo wangu hakawii kukuletea flash memory yenye bongoflavas as gift😢..mimi nawaza juu yy anawaz chini...Na ulivyo mzuri na midaladala hiyo mie nacheka tuu.
Ila mwenzako ndiyo kakuelewa jamani mfikirie.
Sent using Jamii Forums mobile app