Manengelo nakupenda

Manengelo nakupenda

Humu JF naogopaga hata kutongoza au mtamani mtu maana kuna watu humu wamevaa Mask za majina ya kike,thread zakike,comment zakike,profle pc za kike,nk ila ni MARIJALI na nawajua... basi kujitosaga kama huyu kiumbe huwa naonaga ntadondokea kwa mvaa suruali mwenzangu BURE..

ntaishia ku reply vi emoji tu na reactions,sio Kujitosa hivi asee,mwsho nije nimtongoze MAZA angu bure,staki laana mimi.
 
hahahaa kama mie hapa....hatarious..tupo kwenye mapenzi mazito sana na mtoa mada😎
 
Hahaa nisipomuona huwa nalala uvunguni..najiona sina hadhi ya kulala kitandani kbs..😂😂
Kuna kipindi tulikuwa na utani na bibie mmoja kule wassap hadi kimasihara "shetani akatufanyia sherehe " ya ukaribisho. Hatari sana. Nilifutilia mbali kitu kiitwacho wassap! 😂😂😂😂😂
 
😂😂😂km kulikua na kemia aka chemistry sio mbaya sana mkuu😂😂....mm huyy dogo nitamuendesha buree
 
Hornet nimevaa viatu vyako..nikajiweka ndo mm..kwakwel nimeitikia ombi lako😂😂..nikupunguzie joto....Kizuri kula na mwenzio😎😎..ombi.lako limesikika
 
Back
Top Bottom