Mr.Teacher
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 450
- 176
Humu JF naogopaga hata kutongoza au mtamani mtu maana kuna watu humu wamevaa Mask za majina ya kike,thread zakike,comment zakike,profle pc za kike,nk ila ni MARIJALI na nawajua... basi kujitosaga kama huyu kiumbe huwa naonaga ntadondokea kwa mvaa suruali mwenzangu BURE..
ntaishia ku reply vi emoji tu na reactions,sio Kujitosa hivi asee,mwsho nije nimtongoze MAZA angu bure,staki laana mimi.
Mane inakua je sasa..leo wkend tupiamo basi hata moja,najua umenyuka kipensi hapo hahahahahahahaa kama mie hapa....hatarious..tupo kwenye mapenzi mazito sana na mtoa mada[emoji41]
Mane inakua je sasa..leo wkend tupiamo basi hata moja,najua umenyuka kipensi hapo hahahaha
Suuuuuuuuu
Usisahau na glass ya wine pemben
Haha kwa hyo tunafanya je sasauliniharibia sana..khaa hahaha
nshaweka..nenda tuHaha kwa hyo tunafanya je sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa heshima yako acha nikoment[emoji23][emoji23]
Kutoka kwenye mapenzi mazito mmevuka hadi kwenye "huba kali sana " la mmoja asipomuona mwenzie anashikwa na degedege. πππhahahaa kama mie hapa....hatarious..tupo kwenye mapenzi mazito sana na mtoa madaπ
Kutoka kwenye mapenzi mazito mmevuka hadi kwenye "huba kali sana " la mmoja asipomuona mwenzie anashikwa na degedege. πππ
Mane nakuomba ubadili avatar plz
π€£π€£π€£
Hahhaa hahahhaa...hahaahhaa....hahahaha...jus hahaha..nakuja pm kukupa umbea..wasap mie imezengua
Kuna kipindi tulikuwa na utani na bibie mmoja kule wassap hadi kimasihara "shetani akatufanyia sherehe " ya ukaribisho. Hatari sana. Nilifutilia mbali kitu kiitwacho wassap! πππππHahaa nisipomuona huwa nalala uvunguni..najiona sina hadhi ya kulala kitandani kbs..ππ
Kuna kipindi tulikuwa na utani na bibie mmoja kule wassap hadi kimasihara "shetani akatufanyia sherehe " ya ukaribisho. Hatari sana. Nilifutilia mbali kitu kiitwacho wassap! πππππ