Maneno gani uliyokuwa unayatumia zamani?

Kipusa=Demu=Girlfriend
Masai=Shs.100
Mkoko=Gari
Picha=Cinema
Piga miti=Lala na mwanamke
Kidosho= Msichana
Njugu= Pesa
Kishtobe= Matako makubwa
 
No sweet, - haina shida
Nyanga- shilling mia
Kokoto-kande
Makori- palachichi
Ngwira, supu ya mawe- gongo
Kudinya- kujamiana
bati-jeans
Mbaula_fiat
Njagu- afande
Jeans-gari peugeot (4*4)
Mapepe- papala
Kipapa,kutumbua, kipochi manyoa, - uke
Mawola- maji
 
Kusikia uroda-kusikia raha.
Yaani hata iweje siwezi kutumia neno hilo tena hadharani naona ukakasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…