Maneno gani ya dharua uliambiwa yakakuumiza sana

mbn ni hb [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sukari ya warembo
Nashukuru inaweza kuwa ni wivu tu wa yule mama kwa sababu hata mama zakaria mke wangu huwa ananiambia mm ni HB, japo juzi Kati tu hapa kuna jamaa tulikorofishana akanitusi na kusema Nina sura nzito kama uji wa mtama...

Navumilia ila huwa inanikatisha sana tamaa nakujiona inaweza kuwa mm sio binadamu kamili [emoji17][emoji17]

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume mwenyewe govinda..muone kwanza.

Sasa nashangaa huyu demu nimemgegeda mara kadha na alikuwa ana shika mic hilo govi hakuliona wakati huo
 
😂😂😂😂,
Hii ni fedheha.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaka pole ila dah nmecheka sana eti nikaenda ghetto kuangalia hayo mashavu kama mtungi [emoji2302]... umeifanya jioni yangu iwe murua sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaka pole ila dah nmecheka sana eti nikaenda ghetto kuangalia hayo mashavu kama mtungi [emoji2302]... umeifanya jioni yangu iwe murua sana
Usiombe udhalilishwe mbele za watu 😄😄
 
Jamaa yetu alikuwa safarini ile amerudi tukaenda kukutana bar ya jirani. Tumefika jamaa anamuita muhumdumu akamwambia "we dada wasikilize hawa ndege". Binafsi ilibidi niagize tu maji madogo nikanywa sikukaa pale sana
 
Mimi niliambiwa na mashemeji zangu kuwa "namaliza pesa za dada yao mwanaume nisiye na kazi nimeshindwa kumpa hata ujauzito dada yao" wajameni wajameni niliyemtumaini my wife alinipoza ila hao mashemeji nilitamani niwafyekelee mbali kwa sime ila my lover wife alizuia kwa kuweka mpango tuhamie mji mwingine tupo hapa mbezi goba nakula na kushiba nina kazi yangu na watoto 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…