Maneno gani ya dharua uliambiwa yakakuumiza sana

Maneno gani ya dharua uliambiwa yakakuumiza sana

kuna mzee mmoja alikua hataki nisitembee na binti yake.Sasa cku moja alinifata kijiweni mbele ya washkaji ngoja ni mnukuu "ctaki ufala wako kwangu unataka mwanangu aje azae mtoto ana mashavu kama mtungi" nilijickia vibaya sana kwa kudhalilishwa kule mbele ya watu nikajiondokea kwenda gheto kujiangalia kwenye kioo hayo mashavu kama mtungi lakin cku yaona.

Ila mapenz ndo kama aliyachochea binti alidata kupita maelezo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Toka hapa mtu mwenyewe unanuka mkojo halafu unafata wanaume.....mbele ya darasa wanafunzi kibao....sisahau nikikumbuka naumia
 
"we na kuku mna tofauti gan ad nmemkumbuka ex wangu wa zaman"
 
Back
Top Bottom