Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,715
- 8,058
Wanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka visivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadaye nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno ambayo nilifahamu baadae matamshi yake sahihi:
1. Tier - nilikuwa nafananisha matamshi na Tyre
2. Sandals
3. Apprentice
4. Agent - nilikuwa nafananisha matamshi na Urgent
Kama kuna maneno na wewe yanakusumbua, njol tutoane ujinga [emoji4]
1. Tier - nilikuwa nafananisha matamshi na Tyre
2. Sandals
3. Apprentice
4. Agent - nilikuwa nafananisha matamshi na Urgent
Kama kuna maneno na wewe yanakusumbua, njol tutoane ujinga [emoji4]