Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio enterpreneur, andika hivi EntrepreneurYanaosumbua wengi
1. Enterpreneur, najua hii inasumbua wengi mpaka saivi..kuna wanaosema entaprenaa na kuna wataosema enteprenyua
2. Kuna Virtue - wengine watasema vichu wengine vachu
3. Kuna Value - wengine watasoma Valuu wengine Valyu
Mimi lililonisumbua personally ni Genuine. Nilikua natamka 'jinain' badala ya jenyuin
Ipi sahihiDetermine wapo watamkao Ditamin wengine Ditamaini
Vajaina.Vagina inatamkwaje?
Ditamin ndiyo sahihiIpi sahihi
Hukohuko unakoyaandikia; siku utaambiwa, hemu soma hiki ulichoandika, ndipo utatumbua mimacho hiyo midogo na kuikumbuka thamani ya JFngona nikazane kwenye spelling na maana zake kwa ajili ya kuandika. Lakini kutamka unayatamka haya maneno wapi, kwenye gulio?
Aah, ah, usiniite mwerevu, sijajisema mie mwerevu.Nawasubiri mwerevu
Packers (hutamkwa Pakaz kwa Kiswahili), mimi nilikuwa nasema Pekaz as in Tanganyika Packers.Wanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka vizivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadae nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno ambayo nilifahamu baadae matamshi yake sahihi:
1. Tier - nilikuwa nafananisha matamshi na Tyre
2. Sandals
3. Apprentice
4. Agent - nilikuwa nafananisha matamshi na Urgent
Kama kuna maneno na wewe yanakusumbua, njol tutoane ujinga [emoji4]
Siyo English tu, bali "killer loo-gar" inayozungumzwa inakuwa na sifa hiyo. Skills za lugha ni 4:Kiingereza kina tabia ya ajabu Sana kwa watanzania,utakuta mtu unajua kabisa yaani na unaweza kuandika hata kurasa 10 bila kukosea maana.lakini ukija kuongea sentensi tano hazifiki eti kishakuponyoka,huwa nashangaa Sana kwa kweli.aliyeleta hii light bongo,Mungu anamuona.
Hii inaathiriwa na Kiswahili. Ukisema "pakaza" ni kama vile unasema "manyau" aka catsPackers (hutamkwa Pakaz kwa Kiswahili), mimi nilikuwa nasema Pekaz as in Tanganyika Packers.
"Dhoo" ---- Siku hizi ameDHOhofika sana.Though - hili linatamkwaje wakuu
Shock-absorber ---- shokomzoba!?