Wengibe wanatamka skedyul wengine shedyul...ila ni tofaut ya BrE na AmESchedule
Determine ---- "ditamin"Determine wapo watamkao Ditamin wengine Ditamaini
"Adh-hia" ---- "h" zinakuwa 2 kwenye matamshiNa kuna 'Adhere' wengine wanasema 'Adi hia' na wengine 'adhea'....Ila matamshi sahihi ni 'Adi hia'
Hao nao, mmmhKuna watu nilishakula hela zao ile BLM walikuwa wanaitamka 'blak livs mata', mimi nawaambia ni 'laivs' wanabisha....wengi tu
Neno NAIVEWanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka vizivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadae nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno ambayo nilifahamu baadae matamshi yake sahihi:
1. Tier - nilikuwa nafananisha matamshi na Tyre
2. Sandals
3. Apprentice
4. Agent - nilikuwa nafananisha matamshi na Urgent
Kama kuna maneno na wewe yanakusumbua, njol tutoane ujinga [emoji4]
Cupboard ---- "kap-bad" Dah sitasahauPurse = Pouch✖️
Japo nilikuwa nasoma English Medium ila hili neno liliwahi kunitoa nishai
Education ---- edzukeshen/ejukeshen vs edukeshenWengibe wanatamka skedyul wengine shedyul...ila ni tofaut ya BrE na AmE