Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

Hii 'tranz' ni kingereza cha nchi gani wanatamka hivi?
 
Total- Toto hili neno lilinichanganya sana kipindi nipo shuleni mara kadhaa nimeona walimu wangu wakilitamka tofauti wengine wanalitamka Kama lilivyo total- na wengine wakilitamka Toto

Hapa nani alikua yupo sahihi?
 
Total- Toto hili neno lilinichanganya sana kipindi nipo shuleni mara kadhaa nimeona walimu wangu wakilitamka tofauti wengine wanalitamka Kama lilivyo total- na wengine wakilitamka Toto

Hapa nani alikua yupo sahihi?
Total --- TOTO (halafu, to make it even more palatable & pleasant, hiyo ^to^ ya pili inatamkwa as though siyo ^t^ wala siyo ^d^ Means lahani yako ya utamshi iwe subset ama ilalie kwenye ^feasible region^ ipatikanayo kwenye intersection ya herufi ^d^ na ^t^)
 
Mostly Kenyans wameathirika na ^ulimimama^ (mother tongue), and so wanafinyanga baadhi ya maneno:

national --- NASHNO (wao wanasema ^neshinOL^)
table --- TEIBO (wao: tebOL)
 
Complimentary vs complementary

I need help on this
compliment --- complimentary: esteem, admiration, respect, flattery, etc

complete --- complementary

67 and 23 are complementary angles because they add upto 90 degrees



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…