Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Enterprenuer ---- antaprinyua, hiyo "nta" huwa soft kiasiYanaosumbua wengi
1. Enterpreneur, najua hii inasumbua wengi mpaka saivi..kuna wanaosema entaprenaa na kuna wataosema enteprenyua
2. Kuna Virtue - wengine watasema vichu wengine vachu
3. Kuna Value - wengine watasoma Valuu wengine Valyu
Mimi lililonisumbua personally ni Genuine. Nilikua natamka 'jinain' badala ya jenyuin
Acha hizo mzee baba yaani vichuu [emoji16][emoji16]Yanaosumbua wengi
1. Enterpreneur, najua hii inasumbua wengi mpaka saivi..kuna wanaosema entaprenaa na kuna wataosema enteprenyua
2. Kuna Virtue - wengine watasema vichu wengine vachu
3. Kuna Value - wengine watasoma Valuu wengine Valyu
Mimi lililonisumbua personally ni Genuine. Nilikua natamka 'jinain' badala ya jenyuin
Ndo ivo mzee mambo ya mazatang' ayo.Acha hizo mzee baba yaani vichuu [emoji16][emoji16]
Kalkyuleit ---- kuna hiyo mahadhi ya "eit" wengi huwa wanaacha kutaamka, hasa wasio wazawa wa EnglishNdo ivo mzee mambo ya mazatang' ayo.
hii mpaka saivi sijui inatamkwaje
Calculate---ni kalkulet au kalkyulet?
"Wimen" --- sema "sisi wanaume," kwa EnglishWomen - Wi - min [emoji23]
Enterpreneur [emoji777]Yanaosumbua wengi
1. Enterpreneur, najua hii inasumbua wengi mpaka saivi..kuna wanaosema entaprenaa na kuna wataosema enteprenyua
2. Kuna Virtue - wengine watasema vichu wengine vachu
3. Kuna Value - wengine watasoma Valuu wengine Valyu
Mimi lililonisumbua personally ni Genuine. Nilikua natamka 'jinain' badala ya jenyuin
Nilijua tu haiwezi kosa comment ya hiviPneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis
Antidisestablishmentarianism
Supercalifragilisticexpialidocious
Vagina inatamkwaje?Enterpreneur [emoji777]
Entrepreneur [emoji3514]
Kweshien ---- t haitamkwiQuestion
Wengine watasema : Kwes.shen, na wengine watasema Kwes.chen